Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako, nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako.
Verse 1 Nikiwa nawe kama mwalimu, ninajua nitahitimu, nitashinda adui, akileta majaribu, unitayarishe, unibadilishe, mtihani nipite, mwito nitimize, nijue kuandika, niandike maono yangu, nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako, nijue kuongea, nihubiri neno lako oh, kwa watu wako.
[refrain] Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako.
Verse 2 Shule yako hatudanganyi, ni ukweli na uwazi, wanafaunzi hawagomi, mwalimu atujali, unifunze mipango, wote niwaheshimu, Yesu ni mwalimu, Yesu ni mwalimu nijue kuandika, niandike maono yangu, nijue kuhesabu, nihesabu baraka zako, nijue kuongea, nihubiri neno lako oh, kwa watu wako.
[refrain] Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako Baba nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako nichukue, nifunze, nataka kusoma, kwa shule yako, kwa shule yako.