#Gerezani #jonijooo #Nyandutozzy Tangu Jonijooo apelekwe Gerezani Nyandu Tozzy amekuwa mgeni wa SAba (7) kwenda kumtembelea. Zimepigwa story nyingi sana Na hii ndio sehemu ya 7 ya kipindi kipya cha Gerezani kinachoruka kupitia Tv-E kila siku za Jumatano kuanzia saa tatu kamili usiku.